Kwa Watafutao Mapenzi


Atongozaye

Usiikanye roho yako Mwanatope, mahaba yanapokunasa:
Kwa utulivu mkaangie nyama ya ulimi
Hadi atulie kipusa.
Na umshawishipo kwa mauwa huyo Msupa
Chunga usimwinde kwa mishale ya pupa!

Atongozwaye

Sambaza tabasamu ewe Msupa unayewindwa.
Penda punde unapopendwa
Laiti ukapenda usipopendwa!
Usikaushe roho kwa maringo ya pesa nane…
Kwani mapenzi ya ngoja-ngoja hayastahili biryani!

© OLUOCH-MADIANG’


Advertisements

6 responses to this post.

 1. Haya basi. Hamna tatizo! lakini huyu Mtongozaji yuwapi? Ama itanibidi miye niwe huyo huyoooooo!!! LoL!

  Reply

 2. Madiang’ malenga? penda unapopendwa!

  Reply

 3. Nalipenda shairi………….lakini ni fupi sana….tafadhali lirefushe:-)

  Reply

 4. umpende hapendeki, umpe roho alisagesage, heri ugumu, nia ntambue, shimoni nsijiti2mbukize!

  Reply

 5. Posted by Alexinho on June 12, 2014 at 10:50

  What does maringo ya pesa nane means? Najaribu kujifunza kiswahili.

  Reply

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: